Leo mkuu wa Mkoa wa Arusha Mh Mrisho Gambo amekutana na balozi wa Kenya nchini Tanzania Balozi Boniface K Muhia ofisini kwake.
Katika mazungumzo hayo wamekubaliana kuimarisha mahusiano katika eneo la mpaka wa Namanga ili kuboresha ustawi wa wananchi wa pande hizi mbili. Pia katika mazungumzo hayo wameongelea ushirikishwaji wa vijana hasa katika suala zima la mchakato wa utangamano wa jumuiya ya Afrika Mashariki ili kuufanya umoja huu uweze kupata kibali mwa makundi yote ya kijamii.
Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akiongea na Balozi wa Kenya Hapa nchini Boniface K Muhia Ofisini Kwake jijini Arusha Leo |
leo jijini Arusha.
Mazungumzo yao yakiendelea kwenye ofisi ya mkuu wa mkoa |
Balozi akiendelea na maongezi hayo mbele ya mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Mashaka Gambo |
Wakiagana baada ya mazungumzo yao picha zote na Mahmoud Ahmad wa Globu ya Jamii Arusha |
James Mhilu
IT Officer at Arusha City Council
IT Officer at Arusha City Council
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni