Baadhi ya wafanyakazi wapya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC) wakiwa na furaha katika hafla ya kuwakaribisha iliofanyika makao makuu jijini Arusha. |
Wafanyakazi wapya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC) wakijitambulisha katika hafla ya kuwakaribisha iliofanyika makao makuu jijini Arusha. |
Mmoja wa wafanyakazi wa EAC,Beata Mukabaranga(kushoto) |
Mkurugenzi mpya wa Miundombinu wa EAC,Kamugisha Kazaura akitoa neno la shukrani |
Wadau wa EAC wakipata mapochopocho |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni