Polisi nchini Ungereza wameonya kuwa kunauwezekano wa kutotambulika kwa watu waliokufa kwenye moto uliounguza ghorofa magharibi mwa Jiji la London.
Vikosi vya huduma za dharura vimeendelea kwa siku tatu, vikiendelea kutafuta miili ya watu iliyoungua katika ghorofa hilo la makazi ya watu la Grenfell Tower.
Waombolezaji wakiomboleza kwa kuweka mashada ya maua na kuandika ukutani ujumbe wa maombolezo
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni