Waziri Mkuu wa Dominica Roosevelt
Skerrit amesema nchi hiyo imeathiriwa sehemu kubwa na kimbunga Maria.
Skerrit ameandika katika ukurasa
wake wa Facebook kuwa Dominica imepoteza kila kitu chenye thamani.
Kimbunga Maria chenye kasi ya
kilomita 257 kwa saa kimeimarika na kuweka daraja la 5 kwa ukubwa.
Hali ilivyo Dominica wakati kimbunga Maria kikiikumba nchi hiyo
Maandalizi ya kukabiliana na kimbunga Maria, hapa madirisha na milango ikizuiwa kwa kupigiliwa mbao juu yake
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni