Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ufungaji mitambo ya kiwanda cha vigae
cha TWYFORD kilichopo Chalinze mkoani Pwani Septemba 19, 2017. Kulia
kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarest Ndikilo na kushoto ni
Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda hicho, Bw. Jack Fen. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na viongozi wa serikqli na Chama Tawala
CCM baada ya kutembelea kiwanda cha vigae cha TWYFORD kilichopo
Chalinze mkoani Pwani Septemba 19, 2017. Kushoto ni Mbunge wa Chalinze,
Ridhiwani Kikwete. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni