Msaidizi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli, Kanali Mkeremy akibidhi Rambirambi (kwa niaba ya Mhe. Rais)
kwa Mufti wa Tanzania Shekhe Aboubakar Zubeir ambaye amefiwa na Kaka
yake Shekhe Saad Zubeiry Ally ambaye amefariki katika hospitali ya Taifa
ya Muhimbili jijini Dar es Salaam.

Msaidizi
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli,
Kanali Mkeremy akizungumza jambo na Mufti wa Tanzania Shekhe Aboubakar
Zubeir ambaye amefiwa na Kaka yake Shekhe Saad Zubeiry nyumbani kwa
Marehemu Kinondoni Mtaa wa Ufipa jijini Dar es Salaam. Wakwanza kushoto
ni Naibu Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Jaffar Haniu.
Msaidizi
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli,
Kanali Mkeremy akiagana na Shekhe wa mkoa wa Dar es Salaam Alhad Mussa
Salum mara baada ya kuwasilisha Rambirambi kwa niaba ya Mhe. Rais katika
msiba huo uliopo Kinondoni mtaa wa Ufipa jijini Dar es Salaam. PICHA NA
IKULU
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni