Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Ireland Nchini, Mhe.
Paul Sherlock (kushoto) na Kaimu Mkurugenzi Mkazi wa UNDP nchini, Bw.
David Omozuafoh (kulia) baada ya kuzindua Awamu ya Pili ya Mradi wa
Kuujengea Uwezo Mhimili wa Bunge (LSP- 11) kwenye ukumbi wa Bunge mjini
Dodoma Septemba 14, 2017
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge, Job Ndugai
(kulia) baada ya kuzindua Awamu ya Pili ya Mradi wa Kuujengea
Uwezo Mhimili wa Bunge (LSP- 11) kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma
Septemba 14, 2017. Kushoto ni Balozi wa Ireland Nchini, Mhe. Paul
Sherlock
Waziri
Mkuu, Kasim Majaliwa akizindua Awamu ya Pili ya Mradi wa Kuujengea
Uwezo Mhimili wa Bunge (LSP- 11) kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma
Septemba 14, 2017. Kulia ni Spika wa Bunge, Job Ndugai.
Waziri
Mkuu, Kasim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua Awamu ya Pili ya
Mradi wa Kuujengea Uwezo Mhimili wa Bunge (LSP- 11) kwenye ukumbi wa
Bunge mjini Dodoma Septemba 14, 2017.Kushoto ni Spika wa Bunge, Job
Ndugai.
Naibu
Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson akitoa maelezo kabla ya Waziri Mkuu,
Kassim Majaliwa Kuzindua Awamu ya Pili ya Mradi wa Kuujengea Uwezo
Mhimili wa Bunge (LSP- 11) kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Septemba
14, 2017.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na Spika wa Bunge, Job Ndugai (kulia kwake )
wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi walioshiriki katika Awamu ya
Pili ya Mradi wa Kuujengea Uwezo Mhimili wa Bunge (LSP- 11) kwenye
ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Septemba 14, 2017. Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni