MAJALIWA AMPA POLE SHEIKH MKUU WA TANZANIA KWA KUFIWA NA KAKA YAKE

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsalimia Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Abubacary bin Zubeiry Ally wakati alipokwenda nyumbani kwake Mtaa wa Ufipa Kinondoni jijini Dar es salaam Septemba 19, 2017 kumpa pole kufuatia kifo cha kaka yake Saad Zubeiry Ally kilichotokea hospitaal ya taifa ya Muhimbili Septemba 18, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akizungumza na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Abubacary Zubeiry bin Ally wakati alipokwenda nyumbani kwake Mtaa wa Ufipa Kinondoni jijini Dar es salaam Septemba 19, 2017 kumpa pole kufuatia kifo cha kaka yake Saad Zubeiry Ally kilichotokea hospitaal ya taifa ya Muhimbili Septemba 18, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akizungumz na Sheikh Mkuu wa Tanzani, Mufti Abubacary Zubeiry bin Ally wakati alipokwenda nyumbani kwake Mtaa wa Ufipa Kinondoni jijini Dar es salaam Septemba 19, 2017 kumpa pole kufuatia kifo cha kaka yake Saad Zubeiry Ally kilichotokea hospitali ya taifa ya Muhimbili Septemba 18, 2017. Kushoto ni Kadhi Mkuu wa Tanzania , Sheikh Abadallah Mnyasi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni