Waziri
wa Maliasili na Utalii, Mhe. Prof. Jumanne Maghembe (kushoto),
aliyefungua rasmi maonesho ya Utalii ya Karibu Kusini, akikaribishwa na
Meneja wa Kiwanja cha Ndege cha Iringa kilichopo Kata ya Nduli kwenye
banda la maonesho la Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA),
yanayofanyika kwenye viwanja vya Kichangani..
Mbunge wa Iringa, Mchungaji Peter Msigwa (kushoto) akisalimiwa na Meneja wa Kiwanja cha Ndege cha Iringa kilichopo Kata ya Nduli, Bi. Hana Kibopile alipotembelea banda la maonesho ya Utalii ya Karibu Kusini la Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA).

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni