KATIBU MKUU BI SIHABA NKINGA AZINDUA MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI


Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP Mtandao, Bi. Lilian Liundi (katikati) akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani iliyoandaliwa na TGNP Mtandao kujadili changamoto anuai za wanawake jijini Dar es Salaam.
Wasanii wa kundi la Babawatoto Centre wakitumbuiza katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani iliyoandaliwa na TGNP Mtandao kujadili changamoto anuai za wanawake jijini Dar es Salaam.
Mgeni rasmi na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake, Wazee na Watoto, Bi. Sihaba Nkinga akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani iliyoandaliwa na TGNP Mtandao kujadili changamoto anuai za wanawake jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya washiriki wa hafla ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani iliyoandaliwa na TGNP Mtandao kujadili changamoto anuai za wanawake wakiselebuka mara baada ya mgeni rasmi kuzinduwa hafla hiyo iliyofanyika Mabibo, jijini Dar es Salaam.
Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam, Vicky Bishubo (katikati) akizungumzia fursa za akinamama zinazotolewa na Benki hiyo kwenye maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani iliyoandaliwa na TGNP Mtandao kujadili changamoto anuai za wanawake.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni