RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AFUNGUA KIWANDA CHA CHUMA NA PLASTIKI KAHAMA MKOANI SHINYANGA-PIA AZUNGUMZA NA WANANCHI WA TINDE NA IGUNGA




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Kagongwa Kahama mkoani Shinyanga wakati akielekea mkoani Singida

Wananchi wa Kagongwa Kahama mkoani Shinyanga wakishangilia wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akiwasili katika eneo hilo wakati akielekea mkoani Singida.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifungua kiwanda cha Kahama Oil mills kilichopo Kahama mkoani Shinyanga Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria ufunguzi wa kiwanda cha Kahama Oil mills kilichopo Kahama mkoani Shinyanga
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amekalia moja ya kiti kilichotengenezwa na kiwanda cha Kahama Oil mills wakati akikagua bidhaa zinazo tengenezwa kiwandani hapo Kahama mkoani Shinyanga. Pembeni yake ni Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Bi. Zainab Telak
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia moja ya mabomba ya plastik yanayo tengenezwa katika kiwanda hicho cha Kahama Oil mills kilichopo Kahama mkoani Shinyanga. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wafanyakazi wa Kiwanda cha Kahama Oil mills mara baada ya kukifungua.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Tinde mkoani Shinyanga wakati akielekea mkoani Singida.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Igunga mkoani Tabora wakati akielekea mkoani Singida. PICHA NA IKULU

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni