DK.SHEIN AZINDUA OFISI MPYA ZA WILAYA-DUNGA NA UIMARISHAJI MFUMO WA WAKALA WA USAJILI MATUKIO YA KIJAMII


DSC_5954
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Mkurugenzi wa Mtendaji wa Wakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii Zanzibar Dkt.Hussein Khamis Shaaban wakati wa uzinduzi wa Uimarishaji wa mfumo wa matukio ya kijamii uliofanyika leo katika Ofisi mpya ya Wilaya Dunga Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini  Unguja,[Picha na Ikulu.] 04/-9/2018. 
DSC_6281
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe ya uzinduzi wa  Jengo la Ofisi mpya ya Wilaya- Dunga na Uimarishaji wa Mfumo wa Matukio ya Kijamii  katika hafla iliyofanyika leo katika Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini  Unguja (kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,Mkurugenzi wa Mtendaji wa Wakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii Zanzibar Dkt.Hussein Khamis Shaaban na (kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na idara Maalum za SMZ Mhe.Haji Omar Kheri,[Picha na Ikulu.] 04/-9/2018
DSC_5971
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kuzindua jengo la Ofisi mpya za Wilaya -Dunga pamoja na uzinduzi wa Uimarishaji wa mfumo wa matukio ya kijamii uliofanyika leo katika Wilaya kati Mkoa wa Kusini Unguja,[Picha na Ikulu.] 04/-9/2018.
DSC_5959
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akikata utepe kama ishara ya  uzinduzi wa Ofisi mpya za Wilaya -Dunga pamoja na uzinduzi wa Uimarishaji wa mfumo wa matukio ya kijamii uliofanyika leo   Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini  Unguja,(kulia)Makamo wa Pili wa rais Balozi Seif Ali Idii,Mama Mwanamwema Shein na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na idara Maalum za SMZ Mhe.Haji Omar Kheri (kushoto),[Picha na Ikulu.] 04/-9/2018. 
DSC_5986
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akipata maelezo ya kifundi kutoka kwa Mkurugenzi wa Mtendaji wa Wakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii Zanzibar Dkt.Hussein Khamis Shaaban mara baada ya uzinduzi wa Uimarishaji wa mfumo wa matukio ya kijamii na Jengo la Ofisi mpya ya Wilaya Dunga uliofanyika leo katika Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini  Unguja,(kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,[Picha na Ikulu.] 04/-9/2018.
DSC_6028
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Mkurugenzi wa Mtendaji wa Wakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii Zanzibar Dkt.Hussein Khamis Shaaban (kulia) mara baada ya kuzindua Jengo la Ofisi mpya ya Wilaya- Dunga na Uimarishaji wa Mfumo wa Matukio ya Kijamii  katika hafla iliyofanyika leo katika Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini  Unguja,(kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na idara Maalum za SMZ Mhe.Haji Omar Kheri,[Picha na Ikulu.] 04/-9/2018.
DSC_5883
Jengo jipya la Ofisi za Uimarishaji wa Mfumo wa Matukio ya Kijamii-Dunga katika Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini  Unguja   lililozinduliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, [Picha na Ikulu.] 04/-9/2018.
DSC_5888
Baadhi ya Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya Dunga wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa  Jengo la Ofisi mpya ya Wilaya- Dunga na Uimarishaji wa Mfumo wa Matukio ya Kijamii  katika hafla iliyofanyika leo katika Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini  Unguja mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).[Picha na Ikulu.] 04/-9/2018.
DSC_5898
Baadhi ya Viongozi mbali mbali wa Serikali wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa  Jengo la Ofisi mpya ya Wilaya- Dunga na Uimarishaji wa Mfumo wa Matukio ya Kijamii  katika hafla iliyofanyika leo katika Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini  Unguja mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).[Picha na Ikulu.] 04/-9/2018.
DSC_6110
Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Viongozi mbali mbali   wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa  Jengo la Ofisi mpya ya Wilaya- Dunga na Uimarishaji wa Mfumo wa Matukio ya Kijamii  katika hafla iliyofanyika leo katika Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini  Unguja mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).[Picha na Ikulu.] 04/-9/2018.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni