MWENGE WA UHURU WAZINDUA MIRADI 6 JIJINI ARUSHA

Kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa Charles Kabeho akipata maelezo jinsi nyama zinavyofungashwa kwa mitindo mbali mbali kwenye kampuni ya usindikaji wa nyama MEAT KINGI ya jijini Arusha leo wakati mwenge ulipotembelea kiwanda hicho picha zote na mahamoud ahmad Arusha

Wafanyakazi wa kiwanda cha nyama cha Meat King wakiandaa nyama kama walivyokutwa na kamera yetu leo jijini Arusha wakati wa ziara ya mwenge wa uhuru

Kiongozi wa mbio za mwenye akiwa na mkuu wa wilaya ya Arusha Fabian Daqarro wakipata maelezo jinsi kuku wanavyotwa na kuweza kufungwa teyari kwenda sokoni na mmoja ya wafanyakazi wa kiwanda cha usindikaji nyama cha Meat King jijini Arusha leo

Meneja wa kiwanda hicho akitoa maelezo kwa wakimbiza mwenge kitaifa waliotembelea kiwanda hicho leo jijini Arusha eneo la Moshono

Akiuliza maswali kiongozi wa mbio za mweng kitaifa

Nyama ikiwa teyari imeshafungwa kwa kwenda sokoni kama anavyoonyeshwa kiongozi wa mbio za mwenfge wa uhuru kitaifa Charles Kabeho na wenzake eneo la moshono jijini Arusha

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni