Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Mugumu katika wilaya ya Serengeti mkoani Mara.
Ngoma za asili kutoka Mugumu Serengeti mkoani Mara zikitumbuiza katika viwanja vya Mugumu mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili katika viwanja hivyo.
Wananchi wa Natta Mugumu katika Wilaya ya Serengeti wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati akiwahutubia mara baada ya kuwasili katika eneo hilo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Natta Mugumu katika Wilaya ya Serengeti mkoani Mara.
PICHA NA IKULU
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni