Kima Punju hupatikana Zanzibar tu duniani kote

Watu wengi hawafahamu vivutio vilivyopo visiwa vya Zanzibar ambapo wanafikiria kuwa Zanzibar ina uzuri wa fukwe za bahari tu.
Kumbe si fukwe tu bali kuna vivutio vingi vya asili ambavyo vinapatikana kama vile msitu wa jozani ambao umekuwa kivutio kikubwa kwa watu wengi na watalii kupendelea kwenda kuutembelea.
Ni   umbali  wa  kilomita  35 kutoka kusini  mashariki  mwa  Unguja  ambapo  utakuta  msitu wa hifadhi wenye kupakana na ghuba ya Chwaka. Hifadhi  hiyo  imejumuisha vijiji tisa  vikiwemo Pete, Kitogani ,Ukongoroni  chwaka ,Charawe ,Unguja ukuu,  Michamvi na Cheju.
     
Hifadhi  ya  msitu  huo kuna wanyama adimu ambao hawapatikani katika hifadhi nyingine yoyote njee ya visiwa vya Zanzibar. Wanyama hao ni kama vile  chura wa Jozani, Chuwi wa Zanzibar, Jongoo wa Jozani, Paa Nungwa na Kima punju (Red Colobus Monkey) ambao wamekuwa vivutio  vikubwa   vya  utali  na kuwafanya  watu kila kona ya Dunia kufunga safari na kwenda kuvingalia vivutio hivyo.
Katika Wanyama wote hao Kimapunju ndio kivutio kikuu cha watalii kutokana na rangi yake, umbile na tabia yao ya kuishi ujamaa kama Binadamu.
Uso wa Kima punju ni mweusi una taji la manyoya meupe, rangi ya pinki kwenye midomo na pua, pia ana mkia mrefu wenye rangi nyeusi kwa juu na nyeupe kwa chini na wanyama hao hupatikana kwenye hifadhi za misitu ya Jozani (Unguja) na Ngezi (Pemba).
Kima punju huishi kwa kufuatana kwa makundi na kila kundi huwa kuna dume mmoja ambapo dume huyo kamwe hakubali kuliacha kundi hilo kuingiliwa na dume mwengine hadi kufa kwake.
Pia Kima punju hupendelea sana kula majani  machanga ya miti kama vilele vya mipera na majani ya mikungu ambayo ndio hupendelea kula zaidi jambo ambalo husababisha mikungu yote ya Jozani kutokuwa na majani kabisa kwani  yakichipua tu huliwa na wanyama hao.
Wanyama hao hula maganda ya matunda  kama vile Embe, Mapera na makoroma ya nazi na hawali kabisa matunda yenye sukari  kama vile Embe mbivu ,Ndizi mbivu  kutokana na matumbo yao kushindwa kusaga vitu vya sukari (insuline  hormone). 
Vile vile  Kima punju hupendelea kula makaa  meusi kama tiba ya maradhi mbali mbali yanayowasumbua na ni kinga  ya maradhi yao.
Kima punju hukaa  zaidi ya miezi mitano bila kunywa maji kutokana na vyakula wanavyokula si kumtaka kunywa maji, kwani mara nyingi hula vyakula vyenye ukakasi vikiwemo vya  majani machanga.
Mradi wa kuhifadhi msitu wa Jozani wa Jozani-Chwaka Bay Conservation Project uliokuwepo kati ya mwaka 1995 mpaka mwaka 2003 ulimchagua mnyama huyu kuwa kwenye nembo ya utunzaji mazingira Zanzibar.
Kima punju wako kwenye hatari kubwa ya kupotea na tayari Shirika la Kuhufadhi Wanyamapori Duniani (IUCN) limewaweka kwenye mstari mwekundu. Hali hii imetokana na makazi hao kuharibiwa na binadamu kwa uvunaji wa miti kwa ajili ya mbao, uchomaji wa misitu na usafishaji wa misitu kwa ajili ya mashamba.
Naibu Waziri ofisi ya Rais Tawala za mikoa na serikali za mitaa (TAMISEMI) Seleman Jafo wa kati kati akiwa katika boti maeneo ya nyamisati mto Rufiji kwa ajili ya kujiandaa na safari ya kwenda kuwatembelea wananchi wa Wilaya ya Rufiji hususan wale wanaoishi katika maeneo ya Delta ikiwa ni ziara yake ya kikazi Mkoani Pwani ya kukagua miradi mbali mbali ya maendeleo(PICHA NA VICTOR MASANGU) Naibu Wazari Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na serikali za mitaa (TAMISEMI) Seleman Jafo wa kati kati akiwa kwenye boti katika ziara yake ya kikazi katika Wilaya ya Kibiti na viongozi wengine wa serikali,na wa kwanza kulia kwake ni Mwenyekiti wa halmashauri ya Wilaya ya Kibiti Khatibu Chaurembo kwa ajili ya safari ya kwenda kuwatembelea wananchi wa maeneo ya Delta kwa ajili ya kukagua miradi ya mbali mbali maendeleo.(PICHA NA VICTOR MASANGU) NA VICTOR MASANGU, KIBITI LICHA ya serikali ya awamu ya tano kuongeza juhudi za kuboresha sekta ya afya katika maeneo mbali mbali hapa nchini bado sehemu nyingine utoaji wa huduma hali bado ni tete kutokana na kukabiliwa na changamoto mbali mbali ikiwemo ukosefu wa wauguzi,madaktari, madawa, magari ya kubebea wagonjwa,vitanda pamoja na vifaa tiba hivyo kusababisha wagonjwa kupata shida kubwa pindi wanapokwenda kupatiwa matibabu. Changamoto hizo ambazo zinadaiwa ni sugu na hazijafanyiwa utekelezaji wowote zimeweza kubainika baada ya Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tamisemi Selemani Japo kufanya ziara yake ya kikaz ya siku mbili kwa wananchi wa Wilaya ya Kibiti Mkoa wa Pwani hususan katika maeneo ya wananchi wanaoishi katika maeneo ya Delta kwa ajili ya kukagua miradi mbali mbali ya maendeleo pamoja na kubaini changamoto za muda mrefu zilizokuwa zinawakabili ili kuweza kuzitafutia ufumbuzi. Kutokana na kuwepo kwa hali hiyo Mwandishi wa habari hizi aliweza kuzungumza na baadhi ya wakinamama ambao ndio wameonekana kuguswa zaidi katika afya akiwemo Fatma Mbashilu na Hafiswa Hamada wametoa kilio chao kwa Naibu Waziri huyo na kuweka bayana changamoto zinazowakabili wakati wa kujifungua kwani wanapandishwa katika kitanda cha kamba ambacho sio salama na kinawaumiza sambamba na kijifungulia kwa kutumia mwanga wa kibatali kutokana na eneo hilo la visiwani kutokuwa na nishati ya umeme. “Sisi katika kijiji chetu hususan kinamama wajawazito kwa sasa tunakabiliwa na changamoto nyingi hasa katika upatikanaji wa kupewa huduma, kwani kwa sasa tunajifungulia katika kitanda cha kamba kwa hiyo tunajikuta wakati wa kujifungua tunapata maumivu mara mbili, kwa hiyo tunamwomba Waziri Jafo kwa kuwa ameamua kuja kututembelea huku visiwani atusaidie sisi wakinamama,”walisema kwa uchungu wakinamama hao. Aidha walisema mbali na kukabiliwa na changamoto hiyo ya kitanda pia kero yao nyingine kubwa ni kutokana na kutumia mwanga wa kibatari katika kujifungulia na wakati mwingine wanakosa kabisa hela ya kununulia mafua ya taa, hivyo wanajikuta wanapata shida sana hasa katika nyakati za muda wa usiku wanakuwa katika hali ya sintofahamu. Pia wakinamama hao walimpongeza Jafo kwa kuamua kwenda kuwatembelea katika maeneo ya delta wanayoishi kwani kwa kipindi kirefu hawajawahi kuona kiongozi mkubwa wa kitaifa wa serikali ambaye amekwenda kuwajulia hali, hivyo ujio wa waziri huo utaweza kuleta mabadiliko chanya katika kuleta maendeleo kwa wakazi wanaoishi maeneo hayo. Naye Mganga mfawidhi wa zahanati ya Mchinga Kuluthumu Zuberi amekiri kuwepo kwa tatizo la kipindi cha muda mrefu kwa wakinamma hao kujifungulia katika mazingira amabayo sio rafiki kwa upande wao kwa kutumia kitanda kilichojengwa kwa miti na kamba ambapo amedai kiafya sio nzuri hivyo serikali inapaswa kuwasaidia ili kuboresha utoaji wa huduma kwa wagonjwa. Akijibu malalamiko ya hayo ya wananchi Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tamisemi Seleman Jafo ambaye alionekana kuchukizwa na kuwepo kwa hali hiyo aliamua kuchukua maamuzi magumu na kwa kupiga marufuku kabisa tabia ya kuona wauguzi au madaktari kuwalaza wakinamama wajawazito katika vitanda vya kamba pindi wanapokwenda kujifungua kwani kufanya hivyo kuna hatarisha usalama wa uhai wa mama na mtoto anayezaliwa. Jafo alisema kuwa serikali ya awamu ya tano lengo lake kubwa ni kihakikisha kwamba wanaboresha sekta ya afya kuanzia ngazi za vijijini hivyo wamejipanga vilivyo katika kuzitatua changamoto zinazowakabili wananachi ili kuweza kuwapatia huduma nzuri, na kuongeza kuwa ameshamwagiza mkurugenzi wa halmashauri ya Kibiti kupeleka kitanda katika zahanati ya kijiji cha Mchinga ili wakinamama waondokana na kero hiyo ya kujifungulia katika kitanda cha kamba. “Ninaagiza kuanzia sasa sitaki kuona wakinamama wajawazito wanajifungulia wakiwa katika kitanda cha miti, hii kwa upande wangu sipapendezwa nayo hata kidogo kwani inahatarisha maisha ya mama pamoja na mtoto wake kwa hivyo viongozi wa Wilaya ya Kibaiti kwa hili naomba mlifanyie kazi kwa haraka kupeleka kitanda kingine,”alisema Jafo. Aidha katika hatua nyingine Jafo amewaagiza viongozi wa halmashauri ya Kibiti kuachana na tabia ya kufanya kazi kwa mazoea na badala yake wajikite zaidi kuwahudumia wananchi wao ikiwa sambamba na kuweka kipaumbele zaidi katika kutenga bajeti kwa ajili ya ununuzi wa madawa ya kuwatibu wagonjwa wakati wote hasa katika zahanati zote zilizopo katika maeneo yote yaliyozungukwa na maji Delta. Naibu Wazari huyo kwa sasa yupo anaendelea na ziara yake ya kikazi katika Mkoani Pwani ikiwa ni moja kukagua miradi mbali mbali ya maendeleo pamoja na kuweza kuibaini changamoto mbali mbali zinazowakabili wananchi hasa wale hasa wale wanaoishi vijijini ambao wamekuwa wakisahaulika na viongozi wao na kujikuta wanakosa mahitaji na huduma mbali mbali za msingi ikiwemo, afya, elimu, maji hivyo kuwafanya waishi katika mazingira magumu na kushindwa kufanya shughuli za kimaendeleo. About Richard Mwaikenda

Today Deal $50 Off : https://goo.gl/efW8Ef
Naibu Waziri ofisi ya Rais Tawala za mikoa na serikali za mitaa (TAMISEMI) Seleman Jafo wa kati kati akiwa katika boti maeneo ya nyamisati mto Rufiji kwa ajili ya kujiandaa na safari ya kwenda kuwatembelea wananchi wa Wilaya ya Rufiji hususan wale wanaoishi katika maeneo ya Delta ikiwa ni ziara yake ya kikazi Mkoani Pwani ya kukagua miradi mbali mbali ya maendeleo(PICHA NA VICTOR MASANGU) Naibu Wazari Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na serikali za mitaa (TAMISEMI) Seleman Jafo wa kati kati akiwa kwenye boti katika ziara yake ya kikazi katika Wilaya ya Kibiti na viongozi wengine wa serikali,na wa kwanza kulia kwake ni Mwenyekiti wa halmashauri ya Wilaya ya Kibiti Khatibu Chaurembo kwa ajili ya safari ya kwenda kuwatembelea wananchi wa maeneo ya Delta kwa ajili ya kukagua miradi ya mbali mbali maendeleo.(PICHA NA VICTOR MASANGU) NA VICTOR MASANGU, KIBITI LICHA ya serikali ya awamu ya tano kuongeza juhudi za kuboresha sekta ya afya katika maeneo mbali mbali hapa nchini bado sehemu nyingine utoaji wa huduma hali bado ni tete kutokana na kukabiliwa na changamoto mbali mbali ikiwemo ukosefu wa wauguzi,madaktari, madawa, magari ya kubebea wagonjwa,vitanda pamoja na vifaa tiba hivyo kusababisha wagonjwa kupata shida kubwa pindi wanapokwenda kupatiwa matibabu. Changamoto hizo ambazo zinadaiwa ni sugu na hazijafanyiwa utekelezaji wowote zimeweza kubainika baada ya Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tamisemi Selemani Japo kufanya ziara yake ya kikaz ya siku mbili kwa wananchi wa Wilaya ya Kibiti Mkoa wa Pwani hususan katika maeneo ya wananchi wanaoishi katika maeneo ya Delta kwa ajili ya kukagua miradi mbali mbali ya maendeleo pamoja na kubaini changamoto za muda mrefu zilizokuwa zinawakabili ili kuweza kuzitafutia ufumbuzi. Kutokana na kuwepo kwa hali hiyo Mwandishi wa habari hizi aliweza kuzungumza na baadhi ya wakinamama ambao ndio wameonekana kuguswa zaidi katika afya akiwemo Fatma Mbashilu na Hafiswa Hamada wametoa kilio chao kwa Naibu Waziri huyo na kuweka bayana changamoto zinazowakabili wakati wa kujifungua kwani wanapandishwa katika kitanda cha kamba ambacho sio salama na kinawaumiza sambamba na kijifungulia kwa kutumia mwanga wa kibatali kutokana na eneo hilo la visiwani kutokuwa na nishati ya umeme. “Sisi katika kijiji chetu hususan kinamama wajawazito kwa sasa tunakabiliwa na changamoto nyingi hasa katika upatikanaji wa kupewa huduma, kwani kwa sasa tunajifungulia katika kitanda cha kamba kwa hiyo tunajikuta wakati wa kujifungua tunapata maumivu mara mbili, kwa hiyo tunamwomba Waziri Jafo kwa kuwa ameamua kuja kututembelea huku visiwani atusaidie sisi wakinamama,”walisema kwa uchungu wakinamama hao. Aidha walisema mbali na kukabiliwa na changamoto hiyo ya kitanda pia kero yao nyingine kubwa ni kutokana na kutumia mwanga wa kibatari katika kujifungulia na wakati mwingine wanakosa kabisa hela ya kununulia mafua ya taa, hivyo wanajikuta wanapata shida sana hasa katika nyakati za muda wa usiku wanakuwa katika hali ya sintofahamu. Pia wakinamama hao walimpongeza Jafo kwa kuamua kwenda kuwatembelea katika maeneo ya delta wanayoishi kwani kwa kipindi kirefu hawajawahi kuona kiongozi mkubwa wa kitaifa wa serikali ambaye amekwenda kuwajulia hali, hivyo ujio wa waziri huo utaweza kuleta mabadiliko chanya katika kuleta maendeleo kwa wakazi wanaoishi maeneo hayo. Naye Mganga mfawidhi wa zahanati ya Mchinga Kuluthumu Zuberi amekiri kuwepo kwa tatizo la kipindi cha muda mrefu kwa wakinamma hao kujifungulia katika mazingira amabayo sio rafiki kwa upande wao kwa kutumia kitanda kilichojengwa kwa miti na kamba ambapo amedai kiafya sio nzuri hivyo serikali inapaswa kuwasaidia ili kuboresha utoaji wa huduma kwa wagonjwa. Akijibu malalamiko ya hayo ya wananchi Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tamisemi Seleman Jafo ambaye alionekana kuchukizwa na kuwepo kwa hali hiyo aliamua kuchukua maamuzi magumu na kwa kupiga marufuku kabisa tabia ya kuona wauguzi au madaktari kuwalaza wakinamama wajawazito katika vitanda vya kamba pindi wanapokwenda kujifungua kwani kufanya hivyo kuna hatarisha usalama wa uhai wa mama na mtoto anayezaliwa. Jafo alisema kuwa serikali ya awamu ya tano lengo lake kubwa ni kihakikisha kwamba wanaboresha sekta ya afya kuanzia ngazi za vijijini hivyo wamejipanga vilivyo katika kuzitatua changamoto zinazowakabili wananachi ili kuweza kuwapatia huduma nzuri, na kuongeza kuwa ameshamwagiza mkurugenzi wa halmashauri ya Kibiti kupeleka kitanda katika zahanati ya kijiji cha Mchinga ili wakinamama waondokana na kero hiyo ya kujifungulia katika kitanda cha kamba. “Ninaagiza kuanzia sasa sitaki kuona wakinamama wajawazito wanajifungulia wakiwa katika kitanda cha miti, hii kwa upande wangu sipapendezwa nayo hata kidogo kwani inahatarisha maisha ya mama pamoja na mtoto wake kwa hivyo viongozi wa Wilaya ya Kibaiti kwa hili naomba mlifanyie kazi kwa haraka kupeleka kitanda kingine,”alisema Jafo. Aidha katika hatua nyingine Jafo amewaagiza viongozi wa halmashauri ya Kibiti kuachana na tabia ya kufanya kazi kwa mazoea na badala yake wajikite zaidi kuwahudumia wananchi wao ikiwa sambamba na kuweka kipaumbele zaidi katika kutenga bajeti kwa ajili ya ununuzi wa madawa ya kuwatibu wagonjwa wakati wote hasa katika zahanati zote zilizopo katika maeneo yote yaliyozungukwa na maji Delta. Naibu Wazari huyo kwa sasa yupo anaendelea na ziara yake ya kikazi katika Mkoani Pwani ikiwa ni moja kukagua miradi mbali mbali ya maendeleo pamoja na kuweza kuibaini changamoto mbali mbali zinazowakabili wananchi hasa wale hasa wale wanaoishi vijijini ambao wamekuwa wakisahaulika na viongozi wao na kujikuta wanakosa mahitaji na huduma mbali mbali za msingi ikiwemo, afya, elimu, maji hivyo kuwafanya waishi katika mazingira magumu na kushindwa kufanya shughuli za kimaendeleo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni