|
Amir
Mongi akimvisha pete mewe Munirah Bawaziri siku ya ndoa yao ,katika
sherehe iliyofayika kwenye ukumbi wa Mamba Complex Marangu Kilimanjaro
januari
2017,Picha na Vero Ignatus
Blog.
|
Katibu
wa Arusha Press Club Amir Mongi akivishwa pete na mkewe Munirah
Bawaziri katika sherehe ya ndoa yao ,iliyofanyika katika ukumbi nwa
Mamba Complex Marangu Mkoani Kilimanjaro. |
|
|
Amiri Mongi akimkumbatia mkewe Munirah Bawazir .Picha
na Vero Ignatus Blog |
Maharusi wakiwa wanapata chakula pamoja na waandishi wa habari
kuroka Jiji la Arusha.Picha na Vero Ignatus Blog.
Sherehe inaendelea.Picha na Vero Ignatus
Blog
Baadhi
ya waandishi wa habari kutoka Jijini Arusha wakiwa wamesimama na mmoja
wao aliyevaa gauni la njano Pamella Mollel akiwa anazungumza kwa niaba
yao.Picha na Vero Ignatus Blog.
Wakilisakata rumba katika
sherehe hiyo pamoja na maharusi .Picha na Vero Ignatus Blog
|
MC Kiko akiwa anateta jambo na mmoja wa wazee wa
upande wa bwana harusi katika sherehe hiyo,ambapo naye alikuwa msema
chochote siku hiyo.Picha na Vero Ignatus
Blog. |
Pongezi mbalimbali zikiendelea kutoka kwa
ndugu jamaa na marafiki.picha na vero Ignatus Blog.
|
|
|
|
|
|
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni