Waziri Mkuu Kassim Majaliwa(MB)
akimsikiliza Mbunge wa Iramba Mashariki Mheshimiwa Allan Kiula
wakati walipo kutana katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma Waziri
Mkuu yupo Mkoani Dodoma katika kushiriki Mkutano wa Sita wa Bunge la
Kumi na moja amabao umeanza leo Tarehe 31 January 2017
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni