Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa(UN) Antonio Manuel Olveira Guterres
kabla ya kuanza mazungumzo yao katika Ofisi za Makao Makuu ya Umoja wa
Umoja wa Afrika (AU), Addis Ababa nchini Ethiopia.
Katibu
Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Manuel Olveira Guterres akimkaribisha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kabla
ya kuanza mazungumzo yao katika Ofisi za Makao Makuu ya Umoja wa Umoja
wa Afrika (AU), Addis Ababa nchini Ethiopia.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika
mazungumzo na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa(UN) Antonio Manuel Olveira
Guterres katika Ofisi za Makao Makuu ya Umoja wa Umoja wa Afrika (AU),
Addis Ababa nchini Ethiopia.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa(UN) Antonio Manuel Olveira Guterres mara
baada ya mazungumzo yao.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na
Marais wa wa mataifa mbalimbali katika mkutano wa AU unaoendelea mjini
Addis Abba nchini Ethiopia.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
Rais wa Malawi Peter Mutharika kabla ya kuanza mazungumzo yao katika
Ofisi za Makao Makuu ya Umoja wa Umoja wa Afrika (AU), Addis Ababa
nchini Ethiopia.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
ameshikana mikono na Rais wa Malawi Peter Mutharika pamoja na viongozi
wengine mara baada ya kumaliza mazungumzo yao katika Ofisi za Makao
Makuu ya Umoja wa Umoja wa Afrika (AU), Addis Ababa nchini Ethiopia.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Kidemokrasia ya Sahrawi(SADR) Brahim
Ghali katika Ofisi za Makao Makuu ya Umoja wa Umoja wa Afrika (AU),
Addis Ababa nchini Ethiopia. PICHA NA IKULU
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni