(1)Mchezaji bora wa mwaka wa Afrika Riyad MAHREZ (Algeria & Leicester City). nafasi
ya pili ni Pierre-Emerick AUBAMEYANG (Gabon & Borussia Dortmund),na
Sadio MANE (Senegal & Liverpool) anashika nafasi ya tatu.
(2)Mchezaji bora wa mwaka wa Afrika kwa wachezaji wanaocheza barani Afrika ni Denis ONYANGO (Uganda & Mamelodi Sundowns).
(4)Mchezaji bora kijana anayechipukia.Kelechi IHEANACHO (Nigeria & Manchester City)
(5)Mchezaji bora kijana Alex IWOBI (Nigeria na Arsenal)
(6)Kocha bora wa mwaka Pitso MOSIMANE (Mamelodi Sundowns)
(7)Club bora ya mwaka ni Mamelodi Sundowns.
(8)Timu bora ya taifa ni Uganda
(9)Timu bora ya taifa upande wa wanawake ni Nigeria
(10)Mwamuzi bora wa mwaka ni Bakary Papa GASSAMA (Gambia)
(11)Kiongozi bora wa mpira ni Manuel LOPES NASCIMENTO, Raisi wa shirikisho la mpira la Guinea Bissau
(12)Tuzo za heshima kwa magwiji wa zamani zimekwnda kwa
Laurent POKOU -mchezaji wa zamani wa Cote d’Ivoire na Emilienne MBANGO - mchezaji wa zamani wa Cameroon.
(13)Tuzo ya Platinum imekwenda kwa
Mheshimiwa Muhammadu Buhari, Raisi wa Nigeria
(14)Kikosi cha kwanza cha mwaka cha Afrika.
Golikipa:
Denis ONYANGO (Uganda & Mamelodi Sundowns)
Walinzi:
Serge
AURIER (Cote d’Ivoire & Paris Saint-Germain), Aymen ABDENNOUR
(Tunisia & Valencia), Eric BAILLY (Cote d’Ivoire & Manchester
United), Joyce LOMALISA (DR Congo & AS Vita)
Viungo:
Khama
BILLIAT (Zimbabwe & Mamelodi Sundowns), Rainford KALABA (Zambia
& TP Mazembe), Keegan DOLLY (South Africa & Mamelodi Sundowns),
Washambuliaji:
Pierre-Emerick
AUBAMEYANG (Gabon & Borussia Dortmund), Sadio MANE (Senegal &
Liverpool), Riyad MAHREZ (Algeria & Leicester City)
Wachezaji wa akiba
Aymen
MATHLOUTHI (Tunisia & Etoile du Sahel), Kalidou KOULIBALY (Senegal
& Napoli), Salif COULIBALY (Mali & TP Mazembe), Islam SLIMANI
(Algeria & Leicester City), Mohamed Salah (Egypt & Roma),
Kelechi IHEANACHO (Nigeria & Manchester City), Alex IWOBI (Nigeria
na Arsenal)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni