Rais
wa Afrika Kusini Jacob Zuma akimkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika moja ya Ofisi za Makao Makuu
ya Umoja wa Afrika (AU) mjini Addis Ababa kwa ajili ya mazungumzo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana
na Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma mara baada ya kuwasili kwa ajili ya
mazungumzo katika Ofisi za Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU) mjini
Addis Ababa.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma mara baada ya kumaliza mazungumzo yao
katika moja ya katika Ofisi za Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU) mjini
Addis Ababa nchini Ethiopia.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana
na Rais wa Misri Abdel Fattah El Sisi kabla ya kuanza mazungumzo yao
katika moja ya Ofisi za Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU) mjini Addis
Ababa nchini Ethiopia.
Rais
wa Misri Abdel Fattah El Sisi akimkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa ajili ya mazungumzo yao katika
moja ya Ofisi za Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU) mjini Addis Ababa
nchini Ethiopia.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Rais wa Misri Abdel Fattah El Sisi mara baada ya kumaliza mazungumzo yao
katika moja ya Ofisi za Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU) mjini Addis
Ababa nchini Ethiopia.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoka
kwenye mazungumzo yake pamoja na Rais wa Misri Abdel Fattah El Sisi
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Akinwumi Adesina mara baada
ya kumaliza mazungumzo yao mjini Addis Ababa nchini Ethiopia.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana
na Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni kabla ya kuanza mazungumzo yao
katika moja ya Ofisi za AU mjini Addis Ababa Ethiopia.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
jambo na Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni kabla ya kuanza
mazungumzo yao rasmi katika moja ya Ofisi za AU mjini Addis Ababa
Ethiopia.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana
na Waziri Mkuu wa Ethiopia Hailemariam Desalegn wakati akitoka kwenye
mkutano wa AU mjini Addis Ababa nchini Ethiopia. PICHA NA IKULU.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni