Waziri
wa Maliasili na Utalii,Prof,Jumanne Maghembe akitoa hotuba yake wakati
wa hafla ya uzinduzi wa Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Hifadhi za Taifa
(TANAPA) iliyofanyika katika ukumbi wa Mahakama ya Afrika jijini
Arusha.
Wajumbe
wa Bodi ya Wadhamini wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA)
wakifuatilia hotuba ya Waziri wa Maliasili na Utalii,Prof ,Jumanne
Maghembe .
Mwenyekiti
wa Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Mkuu wa
Majeshi Mstaafu ,Jenerali George Waitara akifuatilia hotuba ya uzinduzi
wa Bodi hiyo iliyotolewa na Waziri wa Maliasili na Utalii ,Prof,Jumanne
Maghembe.
Waziri
wa Maliasili na Utalii,Prof Jumanne Maghembe akimkabidhi vitendea kazi
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Allan Kijazi
ambaye pia ni mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Tanapa .
Waziri
wa Maliasili na Utalii,Prof Jumanne Maghembe akimkabidhi vitendea kazi
Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Tanapa Dkt Chanasa Mpelumbe Ngeleja.
Waziri
wa Maliasili na Utalii,Prof Jumanne Maghembe akimkabidhi vitendea kazi
Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Tanapa Prof Wineaster Anderson
Waziri
wa Maliasili na Utalii,Prof Jumanne Maghembe akimkabidhi vitendea kazi
Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Tanapa Prof,Alexander Songorwa.
Waziri
wa Maliasili na Utalii,Prof Jumanne Maghembe akikabidhi vitendea kazi
Devota Mdachi mjumbe wa bodi ya Wadhamini wa Shirika la Hifadhi za Taifa
(TANAPA) .
Mwenyekiti
wa Bodi ya Wadhamini wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Mkuu wa
Majeshi Mstaafu ,Jenerali George Waitara akitoa salam zake wakati wa
uzinduzi wa Bodi hiyo uliofanika katika ukumbi wa Mhakama ya Afrika
jijini Arusha.
Waziri
wa Maliasili na Utalii,Prof Jumanne Maghembe akifurahia jambo na
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini iliyomaliza muda wake Modestus Lilungulu
walpkutana katika hafla fupi ya uzinduzi wa bodi mpya .
Mkurugenzi
wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Allan Kijazi ambaye pia ni
mjumbe wa Bodi hiyo akifanya utamburisho wa wajumbe wa bodi ya Wadhamini
wa shirika hilo.
Mjumbe
wa Bodi ya Wadhamini ya TANAPA,Prof,Wineaster Anderson ambaye pia ni
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Mwenyekiti wa Taasisi ya
Maliasili na Utalii endelevu Afrika (NARESTi Africa) akitamburishwa kwa
wafanyakazi wa Shirika hilo.
Mjumbe
wa Bodi ya Wadhamini ya TANAPA, Dkt Lucy Lugwisa kutoka Baraza la Taifa
la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira akitamburishwa kwa wafanyakazi wa
Shirika hilo.
Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya TANAPA,Prof,Alexander Songorwa ambaye
pia ni Mkurugenzi wa Wanyamapori kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii
akitamburishwa kwa wafanyakazi wa shirika hilo.
Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya TANAPA,Kamishna Marijani Nsato ambaye
pia ni Mkuu wa Operesheni na Mafunzo Makao Makuu ya jeshi la Polisi
akitamburishwa kwa wafanyakazi wa shirika hilo.
Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya TANAPA,Dkt Chanasa Mpalumbe Ngeleja
ambaye pia ni Daktari Mkuu wa Mifugo ,Wizara ya Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
akitamburishwa kwa wafanyakazi wa shirika hilo.
Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya TANAPA,George Fumbuka ambaye pia ni
Mtendaji Mkuu na Mwenyekiti wa Kampuni ya Core Securities akitamburishwa
kwa wafanyakazi wa shirika hilo.
Mjumbe
wa Bodi ya Wadhamini ya TANAPA,Devota Mdachi ambaye pia ni Mkurugenzi
wa Bodi ya Utalii nchini akitamburishwa kwa wafanyakazi wa Shirika hilo.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA)
iliyomaliza muda wake ,Modestus Lilungulu akitoa salam zake wakati wa
uzinduzi rasmi wa Bodi mpya ya Wadhamini ya TANAPA.
Baadhi
ya wafanyakazi wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) wakifuatilia
uzinduzi huo uliofanyika katika ukumbi wa Mahakama ya Afrika jijini
Arusha.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA),Mkuu wa
Majeshi Mstaafu,Jenerali George Waitara (kushoto) akizungumza jambo na
Waziri wa Maliasili na Utalii,Prof ,Jumanne Maghembe mara baada ya
kuzinduliwa kwa Bodi hiyo.katikati ni Mkurugenzi wa TANAPA,Allan Kijazi.
Waziri
wa Maliasili na Utalii,Prof Jumanne Maghembe akiwa katika picha ya
pamoja na Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Hifadhi za Taifa
(TANAPA) muda mfupi baada ya bodi hiyo kuzinduliwa.
Waziri
wa Maliasili na Utalii,Prof Jumanne Maghembe pamoja na Wajumbe wa Bodi
ya Wadhamini ya Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) wakiwa katika picha
ya pamoja na Wakurugenzi wa idara mbalimbali katika shirika hilo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni