Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria wakizungumza na Wajumbe wa Baraza la Vyama vya Siasa Nchini mapema leo katika ukumbi wa Pius Msekwa Jijini Dodoma.
Mwenyekiti Baraza la Vyama vya Siasa Nchini Mhe. John Shibuda katikati akizungumza wakati wa kikao kati ya Wajumbe wa Baraza hilo na Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria mapema leo katika ukumbi wa Pius Msekwa Jijini Dodoma.
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu wa Bunge wa Katiba na Sheria katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Baraza la Vyama vya Siasa Nchini mara baada ya mazungumzo mapema leo katika ukumbi wa Pius Msekwa Jijini Dodoma.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni