Katibu
Tawala Mkoa wa Kilimanjaro,Mhandisi Aisha Amour akiwa ameongozana na
wajumbe wengine wa Kamati ya Maafa kutembelea Bwawa la Nyumba ya Mungu
lililopo wilayani Mwanga ambalo linatajwa ujazo wake wa maji wa
kawaida umepitiliza na kusababisha Mafuriko kwa wakazi waishio kando ya
Bonde la Mto Pangani.
Mhandisi ,Aisha Amour akitizama kina cha Maji katika Bwawa la Nyumba ya Mungu kilichofikia Mita za ujazo 689.88 .
Sehemu ya Bwawa la Nyumba ya Mungu.
Baadhi ya wakazi wa vijiji vya jirani na Bwawa la Nyumba ya Mungu
wakitumia usafiri wa Mitumbwi kusafiri kutoka upande mmoja kwenda upande
wa Pili.
Sehemu ya Mapitio ya Maji baada ya kujaa katika Bwawa la Nyumba ya
Mungu ,maji haya yanaelekea katika maeneo ambayo yapo makazi na mashamba
ya watu yaliyopo pembezoni mwa Bonde la Mto ,Pangani.
Maji yakiendelea kuenea katika uwanda wa Tambarare baada ya kujaa Bwawa
la Nyumba ya Mungu. Na Mahmoud Ahmad Kilimanjaro
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni