Kampuni
ya Mawasiliano Tanzania (TTCL), imebadili nembo na jina la iliyokuwa
TTCL Pesa na sasa kujulikana kama T Pesa baada ya Uzinduzi uliofanyika
jijini Dodoma leo. (Picha:Mroki Mroki-Daily News Digital)
Mkurugenzi
Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL CORPORATION), Waziri
Kindamba akizungumza wakati wa uzinduzi wa Nembo ya na jina lipya la
TTCL Pesa.
Meza Kuu ikifuatilia matukio wakati wa uzinduzi huo.
Meza Kuu ikifuatilia matukio wakati wa uzinduzi huo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TTCL Corp, Omar Nundu akizungumza.
Mgeni
Rasmi, Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasilaino (Sekta ya
Mawasiliano), Atashasta Nditiye akizungumza wakati wa usimduzi huo.
Meya wa Jiji la Dodoma, Prof. Davis Mwamfupe akitoa neno wakati wa uzinduzi huo.
Mwenyekiti
wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imemchagua,
Naghenjwa Kaboyoka(Picha:Mroki Mroki-Daily News Digital)
Mgeni
Rasmi, Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasilaino (Sekta ya
Mawasiliano), Atashasta Nditiye akiwa amezindua Nembo mpya ya T Pesa.
Mgeni
Rasmi, Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasilaino (Sekta ya
Mawasiliano), Atashasta Nditiye akiwa amezindua Nembo mpya ya T Pesa.
picha mbalimbali za pamoja zikipigwa kwa makundi mbalimbali tofauti(Picha:Mroki Mroki-Daily News Digital)
Wananchi wakijisajili na huduma ya T Pesa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni