MWIZI ALIYEKAMATWA KWENYE WIZI WA NDIZI MKAZI WA KIJIJI CHA ILKIREVI KATA YA OLTUROTO H/ARUSHA DC MKOANI ARUSHA.JESHI LA POLISI LIMEFIKA NA KUMCHUKUA AKIWA KATIKA HALI MBAYA.AMEJULIKANA KWA JINA LA OMBENI STEPHANO MARA KWA MARA HUKAMATWA NA KUACHIWA NA AMEKIRI KUWA NI MWIZI WA KILA SIKU MZALIWA PIA WA KIJIJI CHA ILKIREVI KATA YA OLTUROTO.HAKIKA VIJANA TUTUMIE NGUVU ZETU KWA KUFANYA KAZI HALALI ,OMBENI MBALI NA KUPEWA KIPIGO HICHO ALIPEWA ADHABU YA KULA KICHANE CHA NDIZI MBICHI ALIYOIBA NA MAGANDA YAKE HUKU AKISEMA AMESHIBA ANAPEWA KIBANO HADI KAMALIZA KICHANE KIZIMA.USHAURI KWA JAMII KUCHUKUA SHERIA MKONONI NI KOSA HIVYO TUEPUKE KUCHUKUA SHERIA MKONONI.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni