Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM
Abdulrahman Kinana akimkabidhi ‘zana’ Katibu Mkuu mpya wa CCM Dk.
Bashiru Ally, katika makabidhiano ya ofisi yaliyofanyika leo Ofisi Ndogo
ya Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es Salaam
Katibu Mkuu wa CCM Bashiru Ally
akiwasalimia baadhi ya viongozi alipowasili, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu
ya CCM Lumumba jijini Dar es Salaam kwa ajili ya makabidhiano hayo.
Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM
Abdulrahman Kinana akisalimiana kwa furaha na Katibu Mkuu CCM Dk.
Bashiru Ally, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini
Dar es Salaam, Dk. Bashiru alipofika kwa ajili ya makabidhiano hayo, leo
Katibu Mkuu wa CCM Dk Bashiru
Ally akiongozana na Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Abdulrahman Kinana,
wakati wakienda ofisini kufanya makabidhiano hayo.
Katibu Mkuu wa CCM Dk Bashiru
Ally akiongozana na Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Abdulrahman Kinana
kuingia ukumbini kuzungumza na watumishi wa Chama, katika Ofisi8 Ndogo
ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa CCM Dk Bashiru
Ally akikiwa na Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Abdulrahman Kinana baada ya
kufika meza kuu kwa ajili ya kuzungumza na watumishi wa Chama, katika
Ofisi8 Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.
Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Rodrick Mpogolo.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Humprey Polepole akitoa maneno ya utangulizi
Baadhi ya watumishi wa CCM wakiwa ukumbini
Baadhi ya watumishi wa Chama wakiwa ukumbini
Baadhi ya watumishi wa Chama wakiwa ukumbini
Baadhi ya watumishi wa Chama wakiwa ukumbini
Makatibu Wakuu wa Jumuia za Chama wa sasa na wastaafu wakiwa ukumbini
Katibu Mkuu mstaafu wa CCM
Abdulrahman Kinana akikumbatiana kwa furaha na Katibu Mkuu wa CCM
Bashiru Ally baada ya kuzungumza hotuba ya kuaga wafanyakazi wa Chama.
Katibu Mkuu wa CCM Bashiru Ally akizungumza na wafanyakazi wa Chama
Kinana akipongeza hotuba ya Dk Bashiru kwa wafanyakazi
Picha ya pamoja
Picha ya pamoja na Makatibu wasaidizi
picha ya pamoja na watum ishji wa Chama
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni