Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Luhota pamoja na wanafunzi wa Shule ya Msingi Kalambo zilizopo Iringa vijijini wakati alipokuwa njiani kuelekea Wilayani Kilolo kwa ajili ya uwekaji wa jiwe la Msingi la Hospitali ya Wilaya ya Kilolo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Iringa vijijini katika eneo la Ndiwili (hawaonekani pichani) wakati alipokuwa njiani kuelekea Wilayani Kilolo kwa ajili ya uwekaji wa jiwe la Msingi la Hospitali ya Wilaya ya Kilolo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Ipogolo mkoni Iringa wakati akitokea Kilolo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahi kwa kuimba nyimbo na vijana chipukizi wa Kilolo mara baada ya kuhutubia wananchi waliofika kwenye sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa. PICHA NA IKULU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na viongozi wengine akipatiwa maelezo kutoka kwa msimamizi wa ukandarasi wa TBA juu ya ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa kabla ya kuweka jiwe la msingi la mradi huo leo Mei 2, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na viongozi wengine akipiga makofi baada ya uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa leo Mei 2, 2018*
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Kilolo Mhe. Asia Juma Abdallah kwenye sherehe ya kuweka jiwe la la msingi la ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kilolo
mkoani Iringa leo Mei 2, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na viongozi wa CCM mkoa wa Iringa kwenye sherehe ya kuweka jiwe la la msingi la ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kilolo
mkoani Iringa leo Mei 2, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Kilolo Bw. Aloyce Kwezi kwenye sherehe ya kuweka jiwe la la msingi la ujenzi wa Hospitali ya Wilaya hiyo mkoani Iringa leo Mei 2, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitambulishwa kwa wabunge wa mkoa wa Iringa na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo katika sherehe za uwekaji wa jiwe la la msingi la ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa leo Mei 2, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongozana na Mbunge wa Kilolo Mhe. Venance Mwamoto na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo (kulia) katika sherehe za uwekaji wa jiwe la la msingi la ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa leo Mei 2, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahi pamoja na wanafunzi katika sherehe za uwekaji wa jiwe la la msingi la ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa leo Mei 2,
2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wananchi walipomsimamisha eneo la Ipogolo alipokuwa anatoka katika sherehe za uwekaji wa jiwe la la msingi la ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa leo Mei 2, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia wanafunzi wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu cha Mkwawa mkoani Iringa alipotembelea leo Mei 2, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea zwadi kutoa kwa Rasi wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu cha Mkwawa mkoani Iringa alipotembelea leo Mei 2, 2018. Kulia ni Kaimu Makamu
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam na Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo, Profesa Bonaventure Rutinwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu cha Mkwawa mkoani Iringa alipotembelea leo Mei 2, 2018
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni