Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua mkutano wa Biashara na Uwekezaji kati
ya Tanzania na Mauritius mjini Port Louis nchini Mauritius , Machi 23,
2017.
Waziri
Mkuu wa Mauritius, Bw. Pravind Kumar Jugnauth akizungumza katika
mkutano wa Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Mauritius mjini
Port Louis Machi 23, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri Mkuu wa Mauritius, Bw.
Pravind Kumar Jugnauth katika mkutano wa Uwekezaji na Biashara kati ya
Tanzania na Mauritius kabla ya kufungua mkutano huo mjini Port Louis,
Machi 23, 2017.
Baadhi
ya washiriki wa Mkutano wa Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na
Mauritius wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua
mkutano huo mjini Port Louis Machi 23, 2017.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Waziri Mkuu wa Mauritius, Bw. Pravind
Kumar Jugnauth baada ya kufungua mkutano wa Biashara na Uwekezaji kati
ya Tanzania na Mauritius mjini Port Louis Machi 23, 2017. (Picha na
Ofisi ya Waziri
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni