Kamanda
 wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro,Kamishna Msaidizi Mwandaizi wa Jeshi la 
Polisi ,Wilbroad Mutafngwa akionyesha silaha zilizomakamatwa pamoja na 
Dawa za Kulevya aina ya Mirungi na Bhangi.
                                                                           Misokoto ya Bhangi iliyokamatwa.
                                                      Dawa za kulevya aina ya Mirungi iliyokamatwa.
                                             Silaha aina ya Bastola zilizokamatwa na jeshi hilo.
Baadhi ya Waandishi wa habari wakifuatilia taarifa ya Kamanda wa Polisi,(hayupo pichani.)
Mfanyabiashara
 wa vinywaji kwa jumla ,Gerald Kimario akiwa amebeba boksi la Pombe 
iliyofungwa katika vifungashio vya Plastiki baada ya jeshi la Polisi 
kukuta bidhaa hizo katika ghala lake  la kuuzia bidhaa zake.
Mkaguzi
 wa Kanda ya Kaskazini wa Mamlaka ya Chakula na Dawa,William Mhifadhi 
akitizama Pombe iliyopigwa marufuku ikiwa katika vifungshio vya 
plastiki.
Sehemu ya Vifungashio vya Plastiki vya Pombe viivyoppigwa marufuku hivi karibuni.
Watuhumiwa wa matukio ya usafirishaji wa Dawa za kulevya pamoja na Unyang'anyi wakiwa mikononi mwa jeshi la Polisi.
Kamanda
 wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro,Wilbroad Mutfungwa akionesha gari 
lililokamatwa likiwa na mizigo ya Dawa za kulevya aina ya Milungi 
,wahusika wakijaribu kuisafirisha. Na Dixon Busagaga wa Globu ya 
Jamii,Kanda ya Kaskazini.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni