Wananchi wa jamii ya wafugaji
waliposimama katikati ya barabara ya kuingia Makao makuu ya Hifadhi ya
Taifa ya Ngorongoro kwa lengo la kuzuia msafara wa Kamati ya Bunge ya
Maliasili na Utalii ilipotembelea Ngorongoro.
Wananchi wa jamii ya wafugaji wanaoishi
katika Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro wakilelekea makao makuu ya Mamlaka
ya Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro mara baada ya kuomba kutoa kero zao
mbele ya kamati hiyo.
Mkuu wa wilaya ya Ngorongoro,Rashid Taka
akitoa neno la ukaribisho kwa wajumbe wa kamati ya Bunge ya
Ardhi,Maliasili na Utalii ilipotembelea wilaya ya Ngorongoro.
Baadhi ya wajumbe wa kamati ya Bunge ya Ardhi,Maliasili na Utalii wakiwa katika kikao hicho.
Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya
Ardhi,Maliasili na Utalii,Atashasta Ndetiye akizungumza na wananchi wa
jamii ya wafugaji makao makuu ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro
Wananchi wa Ngorongoro wakifuatilia
maelezo ya Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Ardhi,Maliasili na
Utalii,Atashasta Ndetiye alipozungumza nao.
Mbunge wa jimbo la Siha na Mjumbe wa
kamati ya Bunge ya Ardhi,Maliasi na Utalii ,Godwin Mollel akizungumza
wakati wa kikao hicho.
Mwenyekiti wa Baraza la Wafugaji Edward
Maura akitoa malalamiko yao kwa kamati ya kudumu ya Bunge ya Maliasili
na Utalii ilipofika makao makuu ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro
kuzungumza naao.
Wananchi wa jamii ya Wafugaji wanaoishi
katika Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro wakifanya maombi mara baada ya
kumalizika kwa kikao na Kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi,Maliasili na
Utalii.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni