Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha 
Profesa Palamagamba kabudi  baada ya kumuapisha kuwa Waziri wa Sheria na
 Katiba Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 24, 2017
Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi 
nyenzo za kazi Dkt. Harrison Mwakyembe baada ya kumuapisha kuwa Waziri 
wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo  Ikulu jijini Dar es salaam leo 
Machi 24, 2017
Viongozi
 walioapishwa wakila kiapo cha Maadili ya Viongozi wa Umma Ikulu jijini 
Dar es salaam leo Machi 24, 2017. Kutoka kushoto ni Mhe Jaji Stella 
Esther Mugasha ambaye ameapishwa kuwa kamishna wa Tume ya Mahakama, Mhe 
Sylvester Mabumba (Balozi wa Tanzania nchini Oman), Mhe Job Masima 
(Balozi wa Tanzania nchini Israel), Mhe. Dkt Abdallah Possi (Balozi wa 
Tanzania nchini Ujerumani), Mhe Profesa Palamagamba Kabudi (Waziri wa 
sheria na katiba) na Dkt Harrison Mwakyembe, Waziri wa Habari, 
Utamaduni, Sanaa na Michezo
Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea na 
wanahabari wa vyombo mbalimbali baada ya kuhitimisha hafla ya kuwaapisha
 mawaziri, mabalozi na Kamishna Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 24,
 2017
Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Makamu wa 
Rais Mhe Samia Suluhu Hassan, na viongozi wengine wakiwa katika picha ya
 pamoja na  waapishwa baada ya kuhitimisha hafla ya kuwaapisha mawaziri,
 mabalozi na Kamishna Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 24, 2017. 
Waapieshwa hao ni Mhe Jaji Stella Esther Mugasha ambaye ameapishwa kuwa 
kamishna wa Tume ya Mahakama, Mhe Sylvester Mabumba (Balozi wa Tanzania 
nchini Oman), Mhe Job Masima (Balozi wa Tanzania nchini Israel), Mhe. 
Dkt Abdallah Possi (Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani), Mhe Profesa 
palamagamba Kabudi (Waziri wa sheria na katiba) na Dkt Harrison 
Mwakyembe, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
 
 
Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimpongeza 
Dkt. Harrison Mwakyembe baada ya kumuapisha kuwa Waziri wa Habari, 
Utamaduni Sanaa na Michezo, huku Waziri mpya wa Sheria na katiba Profesa
 palamagamba kabudi akiwa pembeni baada ya kuhitimisha hafla ya 
kuwaapisha mawaziri, mabalozi na Kamishna Ikulu jijini Dar es salaam leo
 Machi 24, 2017
Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea na 
wanahabari wa vyombo mbalimbali baada ya kuhitimisha hafla ya kuwaapisha
 mawaziri, mabalozi na Kamishna Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 24,
 2017 
 
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni