Vijana wa kazi kaskazini Arusha wakitoa burudani ya nguvu ndani ya Triple A sport bar bendi town ijulikanayo kama Mounti Meru Rickernest  
Waimbaji wa bandi ya Rickinest wakiwa wanaserebuka pamoja na wadau wa muziki wa bandi mkoani Arusha
Waimbaji wakiwa wanaendelea kupata burudani na mashabiki
Wanenguaji hatari kutoka bendi ya Rickinest Band wakionyesha uwezo wao wa kukata mauno jukwaani
Apa mzuka ulikuwa umepanda hatari waliamua kuonyesha makeke ya kila aina
Washabiki wa bandi ya Rickinest wakiwa wana show love kwa pamoja mara baada ya burudani kukolea
Wanadada wa A-Town waliouthuria katika show hiyo ya Mounti Meru Rickinest Band wakiwa katika pozi
Wa kwanza kushoto ni shabiki mkuu wa band ya Rickinest music band Omary Matelephone akiwa anabadilishana mawazo na shabiki mwenzake ambalo jina lake alikuweza kufahamika mara moja
Mmoja wa wakurunzi wa band hiyo wa kwanza kulia akiwa anaserebuka sebene la nguvu wakati wanamuziki wakifanya yao (picha zote na Mahmoud Ahmadwww.manyaraleotz.com,Arusha)

Bendi hii ya Mounti Meru Rickernest bandi inafanya onyesho lake kila siku ya ijumaa ,jumamosi na jumapili katika ukumbi wa Triple A sport bar


Bendi hii ni mpya na imeaidi kutoa burudani ya nguvu kwa mikoa yote ya hapa nchini

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni