Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa 
katika ziara ya kushtukiza katika Bandari ya Dar es Salaam kufatilia 
maagizo yake ya kudhibiti vitendo vya udanganyifu vinavyofanywa na 
wafanyabiashara wanaogiza na kusafirisha mizigo ndani na  nje ya nchi
 Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli 
akihesabu makontena 20 yenye mchanga wa madini ambapo ameamuru kontena 
hizo zisisafirishwe mahali popote
 Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli 
akizungumza na kutoa maagizo mbalimbali kuhusu makontena 20 
(yanayoonekana nyuma)  yenye mchanga wa madiniuliokuwa usafirishwe 
kwenda  nje ya nchi ambapo ameagiza  Kontena hizo zisisafirishwe mahali 
popote.
 Makontena
 20 yenye mchanga wa madini yakiwa yamezuiwa kusafirishwa nje ya nchi na
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli 
mara alipofanya ziara ya kushtukiza katika bandari ya Dar es Salaam
 Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli 
akizungumza na kutoa maagizo mbalimbali kuhusu makontena 20 
(yanayoonekana nyuma)  yenye mchanga wa madiniuliokuwa usafirishwe 
kwenda  nje ya nchi ambapo ameagiza  Kontena hizo zisisafirishwe mahali 
popote. Makontena 20 yenye mchanga wa madini yakiwa yamezuiwa 
kusafirishwa nje ya nchi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
 Dkt. John Pombe Magufuli mara alipofanya ziara ya kushtukiza katika 
bandari ya Dar es Salaam
 Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli 
akikagua nyaraka mbalimbali zenye maelezo kuhusu makontena ambayo 
husafirishwa nje ya nchi katika Bandari ya Dar es Salaam
 Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli 
akiangalia baadhi ya magari yalivyoingizwa nchini na Wafanyabiashara 
wakubwa kwa njia isiyo halali ya kudai kuwa ni makontena ya mitumba 
wakati ndani yake wanaficha magari yakifahari wanayoyachanganya na 
bidhaa zilizochakaa.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni