Mwenyekiti
wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
watendaji, Wenyeviti na Makatibu wa CCM wa Wilaya na Mikoa baada ya
kufunga semina yao katika ukumbi w White House mjini Dodoma leo Machi
14, 2017.
Mwenyekiti
wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia
watendaji, Wenyeviti na Makatibu wa CCM wa Wilaya na Mikoa wakati wa

Wajumbe
wa Sekretarieti ya CCM wakimsikiliza Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi
Dkt. John Pombe Magufuli wakati akifunga kufunga semina ya watendaji,
Wenyeviti na Makatibu wa CCM wa Wilaya na Mikoa katika ukumbi w White
House mjini Dodoma leo Machi 14, 2017. PICHA NA IKULU
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni