WATANGAZAJI WA MICHEZO WATAKIWA KUZINGATIA MAADILI


 Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo, Yusuph Omari akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo na Warsha ya Wanahabari za michezo  juu ya maadili ya utangazaji kwenye radio na Televisheni na kuzingatia taaluma
 Mwandishi wa habari mkongwe kutoka kituo cha Azam Televisheni , Baruani Muhuza akitoa somo kwa wanahabari hao walifika katika mkutano huo juu ya umuhumu wa weledi wa taaluma
 Mkurugenzi mtendaji wa makampuni ya Superdoll, Jamal Baiser akizungumza wakati wa mafunzo hayo kwa watangazaji wa waandishi wa habari za michezo
 Evance Mhando akichangia mada katika mkutano huo ambao uliweza kuwajenga watangazaji kufuata weledi
 Mwalimu Alex Kashasha akitoa mada juu ya kuwaleta wasikilizaji na watazamaji kuwa sehemu ya watu waliopo uwanjani pasipo kusababisha mfarakano wa moyo na kulaumu marefa na wachezaji kutokana na aina ya utangazaji tulionao sasa
 Baadhi ya washiriki wa Semina hiyo wakifatilia kwa makini  masomo yalikuwa yakitolewa katika mafunzo hayo

 Baadhi ya washiriki wa Semina hiyo wakifatilia kwa makini  masomo yalikuwa yakitolewa katika mafunzo hayo
 Msemaji wa shirikisho la Soka nchini ,Alfred Lucas Mapunda akizungumza na juu ya watangazaji kusomana kufuata kanuni za ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara na mashindano mengine hili kuweza kuwa na majibu sahii pindi wanapokuwa wanatangaza mpira
Mkurugenzi Mtendaji wa makampuni ya Superdol , Jamal Baiser akikabidhi zawadi kwa  Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo, Yusuph Omari ambaye alimwakilisha waziri wa haabri Vijana utamaduni na Michezo Nape Nnauye

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni