Shirika la Ndege la British Airways
limekabiliana na malalamiko kutoka kwa abiria wa ndege zake kufuatia
kuishiwa na vyakula zikiwa safarini.
Shirika hilo pia pia limekuwa
likikabiliwa na tatizo la kushindwa kuwa na akiba ya kutosha ya
karatasi za kutumia chooni.
Matatizo hayo yameibua malalamiko
mengi ya wateja, wengi wao bado wamekerwa na uamuzi wa shirika hilo
kuondoa chakula cha bure katika safari fupi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni