UZINDUZI WA UTAFITI WA UCHIMBAJI MAFUTA NA GESI ASILIA ZANZIBAR

QAAA
Makamu wa Pili wa Rais akikata utepe kuashiria kuzindua kazi ya utafiti wa utafutaji na Uchimbaji wa Mafuta na Gesi Asilia Zanzibar jana katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume(Picha na Dk. Juma Mohammed.
QA 1
 Ndege ya Utafiti wa Uchimbaji wa Mafuta na Gesi Asilia kutoka Kampuni ya Bell Geospace ya Uningereza ikiwa tayari kuanza kazi hiyo Visiwani Zanzibar.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni