RAIS WA ZANZIBAR DR. SHEIN ASHIRIKI UFUNGUZI WA MKUTANO WA IORA WAFANYIKA NCHINI INDONESIA


1
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na Marais wa Nchi nyengine wakipiga ngoma kama ishara ya ufunguzi wa mkutano wa kwanza wa Nchi zinazopakana na Bahari ya Hindi (INDIAN ASSOCIATION-IORA) akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt John Pombe Magufuli,mkutano huo ulifanyika jana katika ukumbi wa Balai Sindang Mjini Jakarta Indonesia .
2
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kushoto)akiwa na ujumbe wake jana baada ya kumalizika kwa mkuutano wa kwanza wa Nchi zinazopakana na Bahari ya Hindi (INDIAN ASSOCIATION-IORA) akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt John Pombe Magufuli,mkutano huo ulifanyika jana katika ukumbi wa Balai Sindang Mjini Jakarta Indonesia,(kushoto) Rais wa Sychells Mhe,Danny Faure,

                                                                                              [Picha Ikulu, Zanzibar.]

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni