Msafara wa Magari ya Kamati ya Kudumu ya
 Bunge ya Ardhi,Malisili na Utaalii,yakpita katika maeneo mbalimbali ya 
Pori Tengefu la Loliono kwa ajili ya kujionea hai halisi ya mgogoro 
ulioo katika eneo hilo.
Mwenyekii wa Kamati ya Kudumu ya Ardhi 
,Maliasii na Utalii,Atashasta Ndetiye (katikati) akiongozana na wajumbe 
wengine wa kamati hiyo kutizama vyanzo vya maji vilivyoko katika Pori 
Tengefu la Loliondo.
Waziri wa Malisili na Utalii ambaye pia 
ni mjumbe wa kamati hiyo,Prof Jumanne Maghembe akiongozana na wataalamu 
katika ziara ya kamati hiyo.
Mtafiti Mkuu wa Idara ya Ikolojia 
(TAWIRI) Dkt Edward Khoi akitoa maelezo ya kitaalamu kwa wajumbe wa 
kamati ya kudumu ya Ardhi,Malisili na Utalii wakati wakitembela Pori 
tengefu la Loliondo.
Baadhi ya wajumbe wa kamato hiyo wakifuatilia maelezo kutoka kwa wataalamu wa Ikolojia na Uhifadhi.
Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya 
Serengeti,William Mwakilema akiwaeleza wajumbe w kamati hiyo madhara 
yatakayojitokea endapo eneo la Pori Tengefu la Loliondo halita 
hifadhiwa.
Wajumbe wa Kamati ya Maliasili na 
Utalii,wakitizama eneo linalotajwa kutengenezwa na wafugaji kwa ajili ya
 kunyweshea maji mifugo yao ndani ya Pori Tengefu la Loliondo.
Eneo linalouiwa na wafugaji unyweshea mifgo yao.
Sehemu ya Mabirik yanayotajwa kutengenezwa na jamii ya wafugaji kwa ajili ya kunywesha mifgo yao.
Mwenyekiti a Kamati ya Kudumu ya Bunge 
ya Ardhi,Maliasili na Utalii,Atashsta Ndetiye (kulia) pamoja na Waziri 
wa Malisili na Utalii,Prof ,Jumanne Maghembe wakitizama eneo ambalo i 
mapiio ya maji katik Pori Tengefu la Loliondo.
Moja ya Makundi ya Ng'ombe yaliyokutwa na Kamati hiyo katika Pori Tengefu la Loliondo.
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya 
Ardhi,Maliasili na Utalii wakizungumza na mmoja wa wafugaji waliokutwa 
wakichunga Ngombe ndani ya Pori Tengefu la Loliondo. 
Kamati ilikutana pia na Changamoto ya uboovu wa Miundombinu ya barabara hali iliyolazimu magari kupita kwa tahadhari .
Wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya 
Ardhi,Maliasili na Utalii wakitizama moja kati ya vyanzo vy maji 
vinavyotiririsha maji yake katika mto Gurumeti uliopo katika Hifadhi ya 
Taifa ya Serengeti.
Mbunge wa Jimbo la Sumve ambaye pia ni 
mjube wa kamati hiyo,Richard Ndasa akizungumza jambo mara baada ya 
kutizama moja ya vyanzo vya maji vilivyoko katika eneo la Pori Tengefu 
la Loliondo.
Sehemu ya Makundi ya Mifugo pamoja na Mashamba yaliyopo katika eneo la Pori Tengefu la Loliondo.


































Hakuna maoni:
Chapisha Maoni