Waziri Mkuu Kassi Majaliwa akiwa katika kikao cha Wanakamati wanaoshugulikia Mgogoro wa Loliondo Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa Mikutano Ofisi ya Waziri Mkuu Dodoma. Picha na PMO
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisikiliza Tarifa ya Mgogoro wa Loliondo kutoka kwa Mwenyekiti wa kamati na Mkuu wa Mkoa wa Arusha , Bwana Mrisho Gambo.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (kulia)leo 2 February 2017 amepokea Taarifa ya Kamati inayoshughulikia Mgogoro wa Loliondo Kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati amabye ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Bwana Mrisho Gambo, Wanao shuhudia Kutoka kushoto Kaimu Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Uhifadhi Tanzania Martine Loiboki, Mkuu wa Wilaya ya Loliondo Rashid Taka, Mkurugenzi Mkuu Tanapa Allan Kijazi, Mkurugenzi Mkuu wa Wanyama Pori Prof Alexander Songorwa, Mkurugenzi Mkuu wa Thomson Safari s John Bearcroft , Naibu Waziri wa Kilimo na Mifugo Milian Ole Nasha (MB) ,Mwenyekiti wa CCM Arusha Lekule Laiser , Mkurugenzi wa Baraza la Wafugaji Wanawake Bibi Maanda Ngoitika , Kikao hicho cha Kukabidhi Tarifa kimefanyika katika Ukumbi wa Mikutano Ofisi ya Waziri Mkuu Dodoma. Picha na PMO
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (kulia)leo 2 February 2017 akionyesha Kitabu cha Taarifa ya Kamati inayoshughulikia Mgogoro wa Loliondo Kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati amabye ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Bwana Mrisho Gambo, Wanao shuhudia Kutoka kushoto Kaimu Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Uhifadhi Tanzania Martine Loiboki, Mkuu wa Wilaya ya Loliondo Rashid Taka, Mkurugenzi Mkuu Tanapa Allan Kijazi, Mkurugenzi Mkuu wa Wanyama Pori Prof Alexander Songorwa, Mkurugenzi Mkuu wa Thomson Safari s John Bearcroft , Naibu Waziri wa Kilimo na Mifugo Milian Ole Nasha (MB) ,Mwenyekiti wa CCM Arusha Lekule Laiser , Mkurugenzi wa Baraza la Wafugaji Wanawake Bibi Maanda Ngoitika ,Kikao hicho cha Kukabidhi Tarifa kimefanyika katika Ukumbi wa Mikutano Ofisi ya Waziri Mkuu Dodoma. Picha na PMO
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni