Meya wa Jiji la Dar,Isaya Mwita akitia saini kitabu cha wageni alipowasili katika shule ya msingi ya Maweni iliyopo Kata ya Mji Mwema wilayani Kigamboni.Anayeshuhudia kuli ni Mkuu wa Shule hiyo,Zuhura Mwaliko na Mwenyekiti wa Kamati ya Shule hiyo,Kabega Ally.
Uongozi wa Shule ya Msingi Maweni ukimtembeza mgeni rasmi kuangalia maeneo ya shule hiyo na changamoto zake.
Diwani wa Kata ya Mji Mwema,Celestine Maufi (Chadema) akimuongoza Meya wa Jiji la Dar es Salaam,Isaya Mwita kuzungukia majengo ya shule hiyo kujionea changamoto zake akishirikiana na Mkuu wa shule hiyo,Zuhura Mwaliko.
Meya wa Jiji la Dar es Salaam akiangalia dampo linalotumiwa na shule hiyo kutupia na kuchomea moto uchafu jinsi lilivyo.
Diwani wa Kata ya Mji Mwema,Celestine Maufi (Chadema) akimuonyesha Meya wa Jiji la Dar es Salaam,Isaya Mwita (katikati) eneo ambalo limewekwa kwa ajili ya kujengwa madarasa endapo fedha zitapatikana
Mkuu wa Shule ya Maweni,Zuhura Mwaliko akieleza jambo kwa Meya wa Jiji la Dar es Salaam,Isaya Mwita.
Mojawapo la darasa ambalo halijakamilika katika shule hiyo
Wakinamama waliojitokeza katika mkutano huo wa harambee ya uchangiaji wa ujenzi wa madarasa ya shule ya maweni.
Wakinababa waliojitokeza katika mkutano huo wa harambee
Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Maweni wakiimba wimbo wa shule hiyo kabla ya mkutano kuanza.
Wanafunzi walioshiriki katika mkutano huo.
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi ya Maweni,Zuhura Mwaliko akizungumza katika mkutano huo.
Mwenyekiti wa Kamati ya Shule hiyo,Kabega Ally akizungumza katika mkutano huo..
Diwani wa Kata ya Mji Mwema,Celestine Maufi (Chadema) akizungumza katika mkutano huo wa harambee ya uchangiaji wa ujenzi wa madarasa ya wanafunzi wa shule hiyo. Kulia ni Meya wa Jiji la Dar es Salaam,Isaya Mwita
Mwanafunzi wa Shule ya Msingi ya Maweni,Denis Edifonce akisoma risala iliyobeba ujumbe wa changamoto iliyonayo shule hiyo mbele ya Meya wa Jiji la Dar es Salaam,Isaya Mwita. Kulia ni Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo,Zuhura Mwaliko.
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Maweni,Sylvester Roche akizungumza katika mkutano huo.
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Maweni,Sylvester Roche akimtunza mwanafunzi aliyekuwa akicheza nyimbo za asili katika mkutano huo.
Imeandaliwa na Mtandao wa WWW.ELISASHUNDA.BLOGSPOT.COM/
Meya wa Jiji la Dar es Salaam,Isaya Mwita akizungumza katika mkutano na wananchi wa mtaa wa Maweni wakati wa harambee ya kuchangisha ujenzi wa madarasa ya shule ya msingi ya Maweni iliyopo wilayani Kigamboni jijini Dar es Salaam leo. Kulia kwake ni Mkuu wa Shule ya Msingi ya Maweni,Zuhura Mwaliko na Kushoto kwake ni Diwani wa Kata ya Mji Mwema,Celestine Maufi (Chadema) na Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Maweni,Sylvester Roche.
Meya wa Jiji la Dar es Salaam,Isaya Mwita,akimpatia hela kijana Denis Edifonce aliyesoma risala iliyoandaliwa na shule hiyo ambayo ilikuwa na ujumbe mzito uliomgusa meya huyo.
Meya wa Jiji la Dar es Salaam,Isaya Mwita akizungumza katika mkutano na wananchi wa mtaa wa Maweni wakati wa harambee ya kuchangisha ujenzi wa madarasa ya shule ya msingi ya Maweni iliyopo wilayani Kigamboni jijini Dar es Salaam leo. Kulia kwake ni Mkuu wa Shule ya Msingi ya Maweni,Zuhura Mwaliko na Kushoto kwake ni Diwani wa Kata ya Mji Mwema,Celestine Maufi (Chadema) na Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Maweni,Sylvester Roche.
Meya wa Jiji la Dar es Salaam,Isaya Mwitaakisisitiza jambo kwa viongozi walioko meza kuu kuhusu maendeleo ya kata ya Mji Mwema.
Imeandaliwa na Mtandao wa WWW.ELISASHUNDA.BLOGSPOT.COM/
Wanafunzi wakimsikiliza kwa makini Meya wa Jiji la Dar es Salaam,Isaya Mwita (hayupo pichani) wakati akizungumza katika mkutano huo.
Walimu na wazazi wakifuatilia kwa makini mkutano huo.
Wanafunzi wakimsikiliza kwa makini Meya wa Jiji la Dar es Salaam,Isaya Mwita (hayupo pichani) wakati akizungumza katika mkutano huo.
Mkazi wa Mtaa wa Maweni,Rehema Kitunda akizungumza kwa niaba ya wakinana mama wenzake na kuchangia ujenzi huo.
Mkazi wa Mtaa wa Maweni,Daudi Mwasambile
akizungumza kwa niaba ya wakinana mama wenzake na kuchangia ujenzi huo.
Burudani za ngoma za asili zikiendelea katika mkutano huo.
Meya wa Jiji la Dar es Salaam,Isaya Mwita akiwapongeza vijana wa ngoma za asili walionesha uwezo wao na kuwapa moyo wa kuzidi kujituma kutokana na vipaji walivyoonesha na kuwapa nafasi ya kufika ofisini kwake ili azungumze nao aone jinsi gani anaweza kuwasaidia ili wafike katika malengo yao waliyoyakusudia katika tasnia ya sanaa ya muziki.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni