Naibu
 Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe Hamad Masauni, akisalimiana na Maofisa wa 
Idara ya Uhamiaji Zanzibar wakati wa ziara yake kutembelea Idara hiyo ya
 Uhamiaji Zanzibar.kushoto Mkuu wa Idara ya Uhamiaji Zanzibar.
Naibu
 Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe Hamad Masauni, akisalimiana na Maofisa wa 
Idara ya Uhamiaji Zanzibar wakati wa ziara yake kutembelea Idara hiyo ya
 Uhamiaji Zanzibar.Mkuu wa Idara ya Uhamiaji Zanzibar.
Naibu
 Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe Hamad Yussuf Masauni akipata maelezo 
kutoka kwa Afisi wa Uhamiaji Zanzibar wakati wa ziara yake katika Idara 
ya Uhamiaji Zanzibar. 
Naibu
 Waziri wa Mambo ya Ndani Tanzania Mhe Hamad Yussuf Masauni akitembelea 
Vitengo vya Idara ya Uhamiaji Zanzibar wakati wa ziara yake na kuangalia
 Utendaji wa Idara hiyo Zanzibar.
Naibu
 Waziri wa Mambo ya Ndani akimsikiliza Afisa Uhamiaji Zanzibar akitowa 
maelezo ya jinsi ya kuweka kumbukumbu za Passport wakati wa ziara yake.
Maofisa
 wa Idara ya Uhamiaji Zanzibar wakimsikiliza Naibu Waziri wa Mambo ya 
Ndani Mhe Eng Hamad Yussuf Masauni akizungumza na Maofisa hao baada ya 
ziara yake kutembelea Idara hiyo kuina ufanisi wa Kazi zake kwa Wananchi
 wanaofika kupata Passport.
Imetayarishwa na OthmanMapara.Blogspot
Zanzinews.com 
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni