TAIWAN YACHAGUA RAIS WA KWANZA MWANAMKE KUTOKA CHAMA CHA DPP

Bi. Tsai Ing-wen amechaguliwa kuwa rais wa kwanza mwanamke kuliongoza taifa la Taiwan.

Bi. Tsai, 59, anakiongoza chama cha Democratic Progressive Party (DPP) ambacho kinataka Uhuru wa Taiwan kutoka China.

Katika hotuba yake ya ushindi amesema ataendelea kuheshimu makubaliano na China, na kuongeza kuwa China nayo ni lazima iheshimu Demokrasia ya Taiwan, na pande zote ziepuke uchochezi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni