BARAFU YAFUNIKA MAENEO KADHAA YA UINGEREZA



Baadhi ya maeneo ya Uingereza yameamka leo asubuhi na kushuhudia barafu ikianguka inayofikia upana wa sentimita 15, hali ya hewa ikiwa nyuzi joto hasi 11, huku utabiri ukionyesha kuwepo kwa barafu zaidi usiku.

Maeneo yakiwemo ya High Wycombe huko Buckinghamshire, London, Kent, eneo kubwa la Yorkshire pamoja na Cumbria na Northumberland yameamka nakujikuta yakiwa yamefunikwa na barafu.
                Gari likiwa limeacha njia na kugonga kingo za barabara kutokana na barafu
              Baadhi ya wananchi wa Uingereza wakifurahia kucheza kwenye barafu 
                              Watoto wakifurahi kucheza kwenye barafu nchini Uingereza

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni