Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Makamu wa Pili wa Serikali ya
Mapinduzi ya Zanzibar, Balozi Seif Iddi kabla ya mazungumzo yao Ofisini
kwake jijini Dar es salaam Januari 16, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Makamu wa Pili wa Serikali ya
Mapinduzi ya Zanzibar, Balozi Seif Iddi, ofisini kwake jijini Dar es
salaam Januari 16, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni