Waziri wa Habari, Utamaduni, 
Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (mwenye suti ya kijivu) akimpongeza 
mwenyekiti mpya wa FK aliyeteuliwa hivi karibuni Bw. Ahmed Michuzi 
ambaye pia ni Mmiliki  wa Blogu ya Jiachie na mkurugenzi mwandamzi  wa 
Michuzi  Michuzi Media alikuwa mwanachama mwaminifu wa FK, tukio hilo 
limetokea leo wakati alipokutana naye kwenye ukumbi wa Idara ya Habari 
Maelezo  jijini Dar es salaam, Cheo hicho kilikuwa kikishikiliwa na 
Kamanda Richard Mwaikenda.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni