Katika maeneo ya Mkwajuni
Kinondoni baadhi ya wananchi wamefunga barabara wanachoma matairi kwa
kile wanachodai kupinga bomoa bomoa Askari wako eneo la tukio wakijaribu
kuwazuia kufanya matukio hayo na hakuna magari yanayoweza kupita eneo
hilo kutokana na vurugu zilizoababisha kufungwa kwa barabara hiyo ya
kutoka Moroco kwenda Magomeni.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni