Mugizaji nyota wa filamu Angelina
Jolie ameambatana na watoto wake watano katika kuangalia kwa mara ya
kwanza uzinduzi wa filamu yake ya vikatuni ya Kung Fu Panda 3, huko
Hollywood siku ya jana.
Jolie alionekana kushindwa kudhibiti
tabasamu lake wakati akiwaongoza watoto wake hao Pax miaka 12,
Zahara miaka 11, Shiloh miaka 9, mapacha Vivienne na Knox Jolie-Pitt
wenye miaka 7 katika zulia jekundu.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni