Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa
na Michezo Mhe.Nape Nnauye(kulia) akifurahia jambo na Balozi wa Israel
nchini Tanzania Bw.Yahel Vilan alipomtembelea ofisini kwake jijini Dar
es Salaam.Katika maongezo yao wamekubaliana kuimarisha ushirikiano
uliokuwepo na kuangalia sehemu zaidi za kushirikiana katika sekta za
Habari na Utamaduni.
Balozi wa Israel nchini Tanzania
Bw.Yahel Vilan(kushoto) akimpongeza Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na
Michezo Mhe,Nape Nnauye(kulia) kwa kuchaguliwa kuwa Waziri pamoja na
kumpatia zawadi ya kitabu na kikombe kutoka Israel alipomtembelea leo
jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa
na Michezo Mhe,Nape Nnauye(kushoto) akimkaribisha ofisini kwake Balozi
wa Israel nchini Tanzania Bw.Yahel Vilan(kulia) alipomtembelea ofisini
kwake jijini Dar es Salaam.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni