Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa 
akizungumza na Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi wa Botswana, Bw. 
Tshenolo Mabeo baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa 
Sir Seretse Khama  uliopo  Gaborone Januari 17, 2016. Majaliwa 
amemwakilisha Rais John Magufuli katika Mkutano wa SADC.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa 
akizungumza na Katibu Mtendaji wa SADC,Dkt, Srergomena Tax mjini 
Gaborone ambako Mheshimiwa Majaliwa anamwakilisha Rais John Magufuli 
kwenye mkutano wa SADC Januari 17, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni